Karibu ndugu wakatoliki mliopata shida ya kusali kwa kiingereza huko ughaibuni au hapa nyumbani mlipo wasindikiza wageni wenu kwenye ibada za kiingereza pale St.Joseph au kanisa lolote mkajikuta mmekuwa bubu kwa kutozijua au kuzoea sala za kanisa katoliki kwa kiingereza.
Uzi huu pia ni msaada kwa wale wanao shindwa kusali na watoto wao sala za kanisa katoliki na watoto wao waliojifunza kusali kwa kiingereza wakiwa shule. Kwa kurahisisha nitaweka hapa Misale ya waumini kwa kiingereza (Roman Missal) iliyo ktk mfumo wa PDF document ambayo imetengezwa kama mfano wa brochure hivyo unaweza kwenda kuchapa(print) kisha ukakikunja vizuri ukatembea nacho au ukaenda nacho kanisani kikakusaidia wakati wa ibada ya jumapili. Misale hii ya waumini ina kurasa nne(4) tu hivyo kuichapisha ni gharama ndogo pia rahisi kutembea nayo popote. Lakini hakikisha unasali kimya kimya usilete mkanganyiko na vurugu kwa wenzio katikati ya sala. Kumbuka kujua lugha ya kiingereza pekee hakutakusaidia ku-cite sala kwa lugha ya kiingereza kama hukujifunzakufunzwa kwa lugha hiyo. Uzi wangu ambao nimeshindwa kuufungua ni Natanguliza shukrani CC. Read, highlight, and take notes, across web, tablet, and phone. Mtube Youtube Api Bot / Booster 0.2 Youtube Bot Free Download MisaleFree Download Misale Ya Waumini Pdf Pdf Ebook - booklibz.org. Posted on 10-Nov-2017. Misale ya huko (). Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu wa (,, ) Muundo: Historia ya liturujia ( ) Misale, katika, ni cha kinachokusanya yale yanayohitajika kuadhimishia (matini ya na, pamoja na taratibu za vitendo mbalimbali n.k.). Mtube youtube api bot booster 0.2 youtube bot. Baada ya, masomo yaliondolewa katika Misale na kurudishwa katika vitabu tofauti vya kutumiwa kwenye, wakati Misale inatakiwa kutumika kwenye kiti cha padri na altareni. Je, unajua kitu kuhusu Misale kama historia yake, matokeo au athari zake Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa.
0 Comments
Leave a Reply. |
Details
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |